Namba tatu imeniacha hoi
Mimi nataka nikupeleke physically kwenye hizo sehemu kutoa direction sijui lolhahahahaha. Nimekuja kuchungulia makusudi kama wewe ulivyotuchungulia siku ileeeee!.... Nasubiri michango yenu nicopy na kupaste nipeleke kwa mupenzi.
Namba 9 je
Sorry sijasoma
Ooohhh!!! Kumbe you are a woman lolhahahahahahahah mans talk
ooooohhhhh this is so cute mmmhhhh
Hawa washika viwembe mbona wamejaa humu?
juzi walinikosa kosa na viwembe vyao nilipoingia kule kwao kwa bahati mbaya hawa,,
Leo wamechukua nafasi ya akina Baba hapa, Lol..............
Hawa jamaa bana huwa wananiacha hoi tu kwenye bei zao
Mmmh, nyie thread yenu wala hatujapita huko, lakini hapa ndo nyie mnaiendesha . . . .
Pilipili msizozila . . . . haaaa haaaa
Karibu kahawa mwaya . . .
Najua hujasoma ndo maana hujaiona namba 9. Macho yako niaje?
Namba 9 inasema:
9. Tuongelee jinsi ya kuepuka vishawishi vinavyoweza kupelekea kupunguza mapenzi ya mwenzi wako na familia. i.e. kuepuka vimada.
Haaa haaa hii ngoma nzito wasije wakanipiga madongo bana . . .
Ila kuna Wadada wanajua kuweka mitego yao akikupania. Anaanza mbaaaali as if ni serious Business na nothing to do with love . . . kumbeee . . . duuh!
Sasa tunataka tubadilshane uzoefu na ni vipi tunaweza kugundua na kuepuka ili tuendelee kuwapenda wenzi wetu. of course na mengi . . .
Una maoni gani kwani?
Ooohhh!!! Kumbe you are a woman lol
Umeona Eeeh . . . . LOL
Mkuu hawa jamaa nafikiri huwa wanauza nguo kwa sababu ya designer nakumbuka tulienda kununua suti za harusi just because designer wa suti ni NEXT basi bei yake sitaki kusema siku hiyo niliona mbona balaa lakini kitu ukiisha kivaa mwilini unasahau hata kama ulinunua laki 5, wana selection nzuri ya viatu nilishangaa nilipopata viatu vya jamaa wanaitwa RIVER ISLAND.TF we acha tu. Nilienda kununua Bow Tie kwa maharusi nikiwa na bajeti kama ya karakoo ya kama TZS 20,000 maximum. Khaaaa! Bow Tie nikakukuta ni TZS 90,000.
Waist coat Mariedo nilikuta TZS 45,000 kariakoo TZS 15,000. Khaaa! Jamaa wanakwenda TZS 350,000/=
Ukija selections ya Tshirts, Saa, viatu nk ndo usiseme. Suti as high as TZS 2, Million.
Uliweza kununua chochote Mkuu?