Hahahahaa! ndio ukome sasa.@Preta Unamaanisha Ninapo ku pm ananisoma?situmi tena!Unatabia mbaya lol!
Dah!!!!!!hata wakati mwingine huwa tunabadilishana ID......I mean tumepeana password......
Hivi hapa MMU mpo na Mkeo/Mumeo?je mnajitambua mnajijua?kila mmoja wenu anajua ID ya mwenzie?Je ndani simnajimwaya?kwani hapa ni somo tosha!Au kila mmoja kimyakimya?Maana kama mnajuana ID lazima upige kimya,nakama mmoja wenu hajui ID ya mwenzake safi ila kama unajua then ila unajifanya hujui utamsanifu sana akirudi home!
mie hana interest kabisa na mambo ya netMie wangu yupo humu humu... na twajuana na hata kujibishana katika post.... Nitamuomba tukukaribishe chakula cha jioni....lol
mie hana interest kabisa na mambo ya net
Bushoke aliimba walionacho humwona asiyekuwa nacho kama mnyama!kwahiyo wewe nimjanja kuwa ns net home?asante sisi tunatumia za ofici ila kumbuka leo ni j2ila sijaenda ofcn nanopo live!!ukirudi home kutoka wapi mkuu??ina maana mnategemea net za ofisini kuingia kwenye internet?,mkuu ina maana kibarua kikiota nyasi ndo tumekupoteza jf?
Hahah..hii comment yako nimeipenda mangi!ukirudi home kutoka wapi mkuu??ina maana mnategemea net za ofisini kuingia kwenye internet?,mkuu ina maana kibarua kikiota nyasi ndo tumekupoteza jf?
<br />Mwaga ID yake au unazo id mbili??