JF Members

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi hapa MMU mpo na Mkeo/Mumeo?je mnajitambua mnajijua?kila mmoja wenu anajua ID ya mwenzie?Je ndani simnajimwaya?kwani hapa ni somo tosha!Au kila mmoja kimyakimya?Maana kama mnajuana ID lazima upige kimya,nakama mmoja wenu hajui ID ya mwenzake safi ila kama unajua then ila unajifanya hujui utamsanifu sana akirudi home!
 
@Preta Unamaanisha Ninapo ku pm ananisoma?situmi tena!Unatabia mbaya lol!
 
Hivi hapa MMU mpo na Mkeo/Mumeo?je mnajitambua mnajijua?kila mmoja wenu anajua ID ya mwenzie?Je ndani simnajimwaya?kwani hapa ni somo tosha!Au kila mmoja kimyakimya?Maana kama mnajuana ID lazima upige kimya,nakama mmoja wenu hajui ID ya mwenzake safi ila kama unajua then ila unajifanya hujui utamsanifu sana akirudi home!

ukirudi home kutoka wapi mkuu??ina maana mnategemea net za ofisini kuingia kwenye internet?,mkuu ina maana kibarua kikiota nyasi ndo tumekupoteza jf?
 
mie hana interest kabisa na mambo ya net

Shantel sometimes it is good... kama ana interest ya net inabidi hasa m-blend na awe understanding... or else waweza achishwa tumia net al together...
 
ukirudi home kutoka wapi mkuu??ina maana mnategemea net za ofisini kuingia kwenye internet?,mkuu ina maana kibarua kikiota nyasi ndo tumekupoteza jf?
Bushoke aliimba walionacho humwona asiyekuwa nacho kama mnyama!kwahiyo wewe nimjanja kuwa ns net home?asante sisi tunatumia za ofici ila kumbuka leo ni j2ila sijaenda ofcn nanopo live!!
 
Mhhh aise hao wanaopeana pasword wanatuogopesha kuwapm maana unaweza tuma pm yako ukajikuta unatishia kutolewa roho
 
Mie wangu yupo humu humu... na twajuana na hata kujibishana katika post.... Nitamuomba tukukaribishe chakula cha jioni....lol
Nitumie maelekezo yakufika hme ktk pm kwani najua mzee anajua!
 
ukirudi home kutoka wapi mkuu??ina maana mnategemea net za ofisini kuingia kwenye internet?,mkuu ina maana kibarua kikiota nyasi ndo tumekupoteza jf?
Hahah..hii comment yako nimeipenda mangi!
 
Wangu yupo humu anaijua yangu, naijua yake lakini sio member active sana kama mie.

Hata hivyo hatupeani pwords akiona issue yoyote ananishtua niangalie nami pia hivyohivyo

Usiku nikiwa na insomnia na kuperuzi threads wala haangaiki kujua nachat na nani mradi nisimmulike na mwanga wa simu usoni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom