Hehehehe, usitegemee kupata kitu bila kutoa kitu.Bwana ee is a free world & you only live once..
Em endelea kutoa hizo mbinu. naona kile kitabuu
kina kufaa wewe sjui nikutumie kwa Xmass hahahah lol
duhhh tuingie basi kipande cha pili hicho kitu ulicho nacho
kwa ajili yangu nakitaka. maana nikiomba utaanza kunipiga mtama haha..
aka ngwara lol
Hahahahahah lol! Kumbe eeh! huu ni msimu mzuri sana wa kufunguliwa kesi maana hakimu hakawii kukumezea na kukupa uhuru wako katika kipindi hiki cha shamra shamra za Xmas, Kwanza na New Year ππ...vinginevyo ingekuwa msimu mbaya ningetupwa lupango mvua tatu na kazi nzito lol!...Ahsante sana Rubani kwa kusikiliza utetezi wangu.
Hehehehe, usitegemee kupata kitu bila kutoa kitu.
Kwanza tufunge dili ya hicho kitabu for xmass alafu ndo ntaangalia kama na wewe nikupe hicho kitu au la.
Nikupe umbea bure alafu nikisutwa nifute machozi na nini?hahahahahah kuhusu kitabuuuu mmhh
Ngoja niwaze waze maana siunajua kilitoka wapi..
Halafu hiyo bei hahahahahah lol. aisee dili ya kitabu ngoja ngoja..
ila sijali utapenda nlichokununulia kwa Xmass. ....
you will be shocked ... Nipe basi umbea nawe nae hahaha
unanibania sana skuizi...
Nikupe umbea bure alafu nikisutwa nifute machozi na nini?
Halo halooooooooooo.
ahhhhhh Umbea wako una gharama kweli skuizi..
atake kusuta kimemuuma sababu ni kweli .. :hat:
em niangushie makongo....
Sio kirahisi hivyo mamaake.
The info is waaaay to valuable, alafu sijui mhusika atachukuliaje akijua.
Hahahahaha unataka niuwawe. Hii ishu sio ya PM kabisaaaa.Nawe nayo acha kunitamanisha basi khaaa..
ntamwambie BAK akupeleke unakotaka hii holiday.
ila unatakiwa unidokeze kwanza usitumie PM kule kwingine hahhahaha lol
Hahahahaha unataka niuwawe. Hii ishu sio ya PM kabisaaaa.
Mhhh nnakotaka kwendaaaaaa sipajui hivyo hawezi kunipeleka.
We toa ofa nione kama inafikia unachokitaka.Kama haifikii imekula kwako kwahiyo bora uanzie juu.Lolzzzunaringa wewe.. haya bana nikupe nini tu
unipe huo umbea hahahahah lol mwenzio nina hamu kweli.
Ngoja niwaze njia za kukuingia hahahah lol
We toa ofa nione kama inafikia unachokitaka.Kama haifikii imekula kwako kwahiyo bora uanzie juu.Lolzzz
Hahahahha, mbona hiyo ni lazima tayari?haya bana Nakuja kukuona halafu tunaenda wote kuleeee..
lakini hii ni baada ya Xmass before new year.. ukiringa sasa basi..
Hahahahha, mbona hiyo ni lazima tayari?
Pole love ila hiyo tayari nnayo, do try again.
yawi we ni mgumu kweli..
hahahahah huo umbea naomba uwe mnene kuliko
maelezo maana unavyoniringisha mwehhh..
Haya nikimaliza kikusoma kitabu, ntakupa ukisome ..
Hahahha, ukimaliza?
Je ukichukua miaka 50?Macho yangu yatakua hayaoni tena ujue. Alafu nimekumbuka, nna kaumbea pia ukiacha hiyo info baaabkubwa.
Hahahahha, umeomba sana.hahahaah Nipe basi hayo maumbea yako..
acha kuniringishia basi.. Haya basi nakuahidi sintochukua
miaka 50 kukisoma.. maana nnavyokujua wewe
unataka kitu ambacho mi nakitaka pia..
Ntaacha kukupigia usiku wa manani ukiniambia
hahahah lol.. Na we si useme au mpaka nijingate ulimi loohhh
Hahahahha, umeomba sana.
Njoo kule baada ya dakika mbili, na utakua na dakika tano tu za kupokea na kufurahia umbea, kabla sijazima.
Yallah yallah.
ahhhhh Kila mtu yuko holiday Captain.
Ni watu tu kama wewe mko kazini maana
wengi ndo kwanza wana book hizo ticket kwenda
kupata Xmass na wapendanao.. wengi husafiri mbali
ajili ya familia .. Ni msim wa amani kwa kweli.. Kesi zote
kuhusu wewe nimezifuta na pole na kazi my dear friend. hahahahah
Yesssssssss.. Nakuja bila viatu hahahahah lolπoa
mimi Nimeipenda hiyo sigara yako hiyo isiyotoa moshi mkononi mwako ingawa mimi sivuti Sigara unasema RR?Mbona mnapiga kimya? Au ndio mmejiona katika hizo category?