Nashukuru karibu sana Ntwara. Umefikia wapi? Mimi si mwenyeji ni mgeni pia.
Swala la wajeshi ni kweli wapo ila sijaona wakipiga watu. Jana kulikuwa na kazi ya kusafirisha mabomba ya gas hivyo niliona wakipita mitaani na gari zao na vifaru vyao kutisha wananchi wasifanye hujuma. Nilishuhudia kila gari lililokuwa na mabomba ya gas likiwa na escort ya askari ndani yake. Nimeongea na watu wa huku wanasena si kwamba wamerudi nyuma. Msimamo wao ni kuwa gas haitoki na yule bibi wa msambiati kawaambia hawana haja ya kutumia nguvu, gas haitoki. Hahahaha, nimefurahi kukuta Ntwara imependeza zaidi. Barabara za lami zinajengwa kila mahali. Hotel zimeongezeka na zingine zinajengwa. Panachangamka zaidi.[/QUOTE
hawapigi hadharani