Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!
Mawazo ni mazuri...lakin bado naruhusu maoni yenu....japo naamin mwanzo wa michango ni kubagua wengine.tuwekee viwango vya mchango na card tutapataje!!au ni mwaliko tu wa direct bila malipo!
Kumbe bado??
Mawazo ni mazuri...lakin bado naruhusu maoni yenu....japo naamin mwanzo wa michango ni kubagua wengine.
Labda mnipe michango nianzishie miradi.
Bado nini jaman?
Ndoa au tarehe waijua weye???
Shekhe, ndoa nilini?
Ha ha ha DA umenichekesha hapoooo!
unafikiria kufunga mwaka huu?na ni kipindi gani ili tujiandae maana kweli tunamic sana pilau la harusi!
Utaniumiza mbavu leooo!tupe tarehe bana mie na hamu sana na Pilau aisee sijala siku nyingi na outing sijatolewa siku nyingi.
Sababu nyingine hii ya kutoka out!!
Sawa sawa ,Usiwe na hofu JF ni kisima chja Ushirikiano
Ndio nipo kwenye maandalizi...usikose member!
Pia si vbaya ukashiriki kwa namna yeyote hata ukinishauri ni vzuri...don't miss!
Utaniumiza mbavu leooo!
Unajua akina dada wakitaka watolewe out...najua ni gharama itatumika...
Mavazi+viatu etc.
Hapo usipokua mkali utaambiwa HUTOKI!
Shekhe, ndoa nilini?