JF members ktk picha enzi zao

Mkuu hawa ni akina nani unawashangaa?

Manake wewe umekaa pembeni na ni dhahir una malaria.

Jua kaliiii umevaa sweta.

Kama sio malaria basi wewe ni wakishua afu mnyonge wao. Full uniform yaani na soksi na kiatu cha Bata. Ila ukivua tu wanakufurahisha.

Simo aisee napita hivi.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…