Mi mbona umenruka, njoo huku tuongee basi siunaona tuko wenyewe tu;
Mi mbona umenruka,
njoo huku tuongee basi siunaona tuko wenyewe tu;
Yaani nimecheka hadi nimepaliwa! Wifi una visa wewe! Nitamuambia kaka akuongezee kazi.
Waleykum Salaam... Inshaallah kwa dua hio ya kusoma kabla ya kulala, nami naisoma sasa na hatimae kupumzika na kukuaga kwa kuacha picha yako pia.. Wabilah Tawfiq...