....wakati tunajua Young Master unaishi Ungalimited soko mjinga..asikuharibie kabisa huyo.....
Dah!!! Yani ungejua hata soko mjinga sijui liko wapi hata usingesema...
sweetlady muongo...mimi wala sikai ngarenaro na mimi ngarenaro najua kuna soko moja tu la kilombero sasa sijui hilo soko mjinga liko pande zipi.Sasa hapo umezidi kudanganya eti huijui soko mjinga iko sehem gani?na unaish ngarenaro wakati soko mjinga hata hapo ngarna ipo.na pia nimehs hupo arusha au ugeni nawewe pia arusha.karibu
karibu Arusha.....!
Nikaribie mara ngapi mkuu? Nimeishi Arusha since 2004 so mimi sio mgeni tena.
Thank you all mlionipokea na kunihudumia Moshi na Arusha,,,
Sidhani kama umefika Arusha.....
Mkuu filipo tulifika Arusha tukala ugali na nyama choma pale stand kwa chini kuna nyama choma nzuri,halafu tukapelekwa sokoni kwa juu pale chini ya miti kuna wanasiasa pale walikuwa wanajadili hukumu ya lema,tulinunua kahawa na tangawizi na sisi tukakaa chini kusikiliza mabishano,Arusha wameamka sana sanaa
Hapo ndio Makuyuni!!! Kama km 90 hivi kufika jijini!!!
Hapo ndio Makuyuni!!! Kama km 90 hivi kufika jijini!!!