Wewe tena! jina lako lipo lakini halionekani kihivihivi mpaka kwa wenye miwani kama yangu.Nipo tayari kuremove kura yangu kwa Chrispin niiweke kwako.
wewe hata kwenye top 50 haumo!Thank God am not in the list!
Mwaka huu sikuwa active ki-viiile 🙂
Wewe tena! jina lako lipo lakini halionekani kihivihivi mpaka kwa wenye miwani kama yangu.Nipo tayari kuremove kura yangu kwa Chrispin niiweke kwako.
Wewe tena! jina lako lipo lakini halionekani kihivihivi mpaka kwa wenye miwani kama yangu.Nipo tayari kuremove kura yangu kwa Chrispin niiweke kwako.
Hahahahhaa,jamani mchumba au ulikuwa unanidanganya? si uliniambia wewe ni mode? hata bht shahidi angu?[/SIZE]
Kaangalie idadi ya SENKSI zako, nshakunyang'anya moja tayari kwa upuuzi uliouonyesha hapa!
Kuna mtu alisema watoto wa kichaga ndio wanaopenda wanaume wenye mafanikio ya kingawira na wewe ni mchaga? Invisible ni matajiri wachache wa kibongo waliopata hela zao kwa uhalali.
hahaaaaaa ZD waniua mie loh!!! kumbe kuna zaidi ya Xpin duh!!!!!
wewe hata kwenye top 50 haumo!
Yaishe jamani,mwenzenu nisije kula bani kotekoteKuna mtu alisema watoto wa kichaga ndio wanaopenda wanaume wenye mafanikio ya kingawira na wewe ni mchaga? Invisible ni matajiri wachache wa kibongo waliopata hela zao kwa uhalali.
hahaaaaaa
invizibo VS invisible!!!!!!!!
Dah! We acha tu! Maumivu huanza taaaratibu! Maumivu si mchezo! Ngoja nikatafute panadol! Mi nilidhani niko peke yangu! We utakuwa shahidi yangu!
Dah! We acha tu! Maumivu huanza taaaratibu! Maumivu si mchezo! Ngoja nikatafute panadol! Mi nilidhani niko peke yangu! We utakuwa shahidi yangu!
Hapo chacha! Ngoja nikapate valeur nirudishe kichwa changu normal!
Yaishe jamani,mwenzenu nisije kula bani kotekote
Mwenzio nisaidie kummuliza shemijio.naanza kupata wasiwasi hapa.haaa shemeji kumbe we sio invisible tena??? ulikuwa umekaimu tu nafasi au ndo ilikua gia kumpata ZD???
Mchumba you are the only one.Hakuna anayeweza kuchukua nafasi yako.I LOVE YOU AND ONLY YOU
Hauna altenative. Chagua moja kati ya hizo mbili!
Lakini mchumba si uliniambia wewe ndo invizibo nisiwe na wasiwasi wala maria magdalena asiwe na shaka?Hauna altenative. Chagua moja kati ya hizo mbili!
haaa shemeji kumbe we sio invisible tena??? ulikuwa umekaimu tu nafasi au ndo ilikua gia kumpata ZD???
hizo mbili si moja/
Xpin =Invisible au?