JF Member of The Year is...

hahahaaaa, hapa sasa tuko pamo-jah!
vp unatumia nini BIERE au BANTA???
WEITAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

mwite weitresss Eliza bana, anipe banta au vinguli.....
 
naona viongozi wameamka!ngoja nianze kujenga hoja za kuondoka
 
bado ni kanyuu comer , iz veri difikalti kuwataja bat i sinki.
1)nguli
2)pakajimmy
3).........

kwa mawaif to bii
1)carmel (hapa avatar ya carmel imetoa rushwa)
2)bht.
3)kale kadada kanakouza mitsubishi a.k.a jaza mwenyewe

wanaoboa.
1) kuna lizembe linapenda kujipa ulaji kwenye masredi yake(jina kapuni). aaaargh linaniboa. likiniboa zadi nitalitaja kwa herufi capital
 
Nguli
Fidel80
Masanilo
Nyani Ngabu (Hivi yuko wapi huyu mtu nowdays simuoni kabisa)
Pakajimmy
Chrispin
Geof
 
naona viongozi wameamka!ngoja nianze kujenga hoja za kuondoka

mpwa kwani wakiamka???? unaondoka toka wapi au uliwaingilia kule kidongo chekundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…