kungekuwa na posibilitiiz ya kukamata senksi tatu kwa wani post NINGEKUTWANGA SENKSI KAZAAThread nzuri sana hii,nashauri kama vipi tungeweka categories mfano:
1.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Siasa
2.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Kimataifa
3.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Michezo na Burudani
4.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Mambo ya Kikubwa n.k
-Pia mchangiaji anayeongoza kwa Post na thread nyingi(Mzee Mwanakijiji) apewe tuzo..Pia awepo Overall member of the year..
-BTW,Mkuu Invisible;hivi ile Tuzo ya JF Member of the Month iliishia wapi??
-Nguli kama vp uweke sehemu tupige kura ili kumpata huyo JF Member of the year
-Thread nzuri sana hii mkuu...Pamo jah
Thread nzuri sana hii,nashauri kama vipi tungeweka categories mfano:
1.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Siasa
2.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Kimataifa
3.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Michezo na Burudani
4.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Mambo ya Kikubwa n.k
-Pia mchangiaji anayeongoza kwa Post na thread nyingi(Mzee Mwanakijiji) apewe tuzo..Pia awepo Overall member of the year..
-BTW,Mkuu Invisible;hivi ile Tuzo ya JF Member of the Month iliishia wapi??
-Nguli kama vp uweke sehemu tupige kura ili kumpata huyo JF Member of the year
-Thread nzuri sana hii mkuu...Pamo jah
and ze winner is.................????
ujengele $co.ltd!
kula senksi basi....hapo pa red ni kumaanisha hvyo hivyo miw napenda watu chap chap kama wewe...ZD chuma chako ki motoni!!!
And ze Winner is.................????
UJENGELE $CO.LTD!
Noted with Many thanks and filed for further office use and reference. Ila kama kawa kwenye red huwa unaniachaga njia panda sana! Wot du yu miin?
HEHEHE!
MPWA,stuka.
huyu anakomplai na thiori ya KUDUMISHA MILA
ha ha ha ha!Hahaha! Umekula Senksi kwa kipaji chako cha unajimu. LOL! Mpwaaaz! Ze Pillarzzzzz!
Noted with Many thanks and filed for further office use and reference. Ila kama kawa kwenye red huwa unaniachaga njia panda sana! Wot du yu miin?
kimsingi mama hautapindua!utakuwa unadumisha mila za kina shemeji!(POLYGAMISM)Ah bwana we sasa umenaza kunilet down...yani nakupigia debe wewe bado wanirudisha backwards...namaanisha ZD achunge nisije nikapindua serikali...ikawaya majeshi!!!! 😉
Ah bwana we sasa umenaza kunilet down...yani nakupigia debe wewe bado wanirudisha backwards...namaanisha ZD achunge nisije nikapindua serikali...ikawaya majeshi!!!! 😉
ha ha ha ha!
nilisomea postigraduate ya unajimu MWANANYAMALA-KWA KOPA.chuo cha sheikh yahaya
kimsingi mama hautapindua!utakuwa unadumisha mila za kina shemeji!(POLYGAMISM)
karibu sana.milango ii waazi!😀
Hahaha! Usijali, mila zetu zinaruhusu! Mtoto mkali yule, lakini malijendi tunajua namna ya kuwatuliza. Ni-PM basi!
unajua ninachompendea shishi,huwa anaanza anakataa weeeeeeeeeeeeeee halafu at last ANAKUBALI!😀Thats my boy! Umekula senksi kule na hapa hii hapa. SENKSI!
Hivi muda wa kusign out si tayari? Unafanya nini hapa? Ukimwambia akinimwaga ujiandae wewe kudumisha mila!sijaondoka, nanukuu nikitoka hapa nayapeleka mazima mazima sipunguzi labda niongeze tu test!!! Iribini u know me good hahaaaaaa lol!!
Vipi kuhusu Kibunango??? [/QUOTE]
Astaghafirulllah!
We Mkuu Balantanda..
Mswalie nanihii!!!...
Huyu ni muumin mzuri bana!
unajua ninachompendea shishi,huwa anaanza anakataa weeeeeeeeeeeeeee halafu at last anakubali!:d
ameshakubali huyu!ni tradishenalisti mzuri sana huyu
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!