gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
itabidi ufanye hivyo....mi mtu akimchukua kipipimoyo wangu....nitamparura makucha mpaka ashangae....
Una kucha nzuri Preta??
itabidi ufanye hivyo....mi mtu akimchukua kipipimoyo wangu....nitamparura makucha mpaka ashangae....
Una kucha nzuri Preta??
za kuparura....yes...
LOVE IS IN THE AIR.
Bora mfunge ndoa humu humu JF.
Zina nail polish Preta?
zina mpaka base coat...
Waweza kuattach humu Preta?
sitaki....
Poa.. Umeweka colorless,au color fulani Preta?
nina wasiwasi buzi langu kongosho litaibwa. Lol.
ha ha ha....umekuwa mpole mpaka nimeona aibu...nitakuwekea bana....unapenda kucha eeehh....
kaa chonjo bi dada....kuna shosti alishatadharisha...kuna makwapukwapu ya vipipimoyo vyetu humu...stukaa....
Kongosho ulienda kunywa supu nini!
Kama ni hivyo basi lazima akuogope!
Siri jambo jingine bana..
ha ha ha, acha kuntisha
na mie natakuvua hiyo mask usoni