JF member KONGOSHO

unajua watoto wa siku hizi wana-exposure
wanajua angalau kujieleza
unaweza dhani mkubwa mwenzio
ukakuta ni mdogo
afu ushajiandaa sana
ukashindwa rudi nyuma.

umeenda mbali wapo waliomaliza 2011 na wengine bado wako shule form2. Ila kuna vibabu balaa,kuna mmoja nilikuta anaulizia mwenzie aliyemaliza naye f6 71
 
kaa chonjo bi dada....kuna shosti alishatadharisha...kuna makwapukwapu ya vipipimoyo vyetu humu...stukaa....

heee! Sasa sijui nilifunge kengele likijitingisha nisikie. Lol, hebu nipe maujanja preta.
 
heee! Sasa sijui nilifunge kengele likijitingisha nisikie. Lol, hebu nipe maujanja preta.

itabidi ufanye hivyo....mi mtu akimchukua kipipimoyo wangu....nitamparura makucha mpaka ashangae....
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom