JF member at Singida Mpo???

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,684
4,095
Wakuu nipo singida for today and tommorow plz Any Jf member to give a company .

Aqua Resort 2006 nipo at the moment.
 

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,314
tupo kabisa tatizo hujasema mapema bana tungecompany af si ndio ya kwenda uwanja wa ndege eeh
 

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,640
1,277
dah ningekupa company mkuu,.tumepishana niko dar one time....
usisahau kupitia kwa josia ukale ndizi nyama choma...na jioni pitia mitaa ya azam ukabonde kuku wa kienyeji kwa raha zako..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom