JF live Chat is up now!

Aisee mwalimu wangu Gaijin keshajua?

Naomba mumwambieni mkimwona. Hatimaye kilio chetu kimesikilizwa kabla hatujaandamana kama Cairo.

Maxence chagua mjukuu wangu mmoja umpendaye nikukabidhi:clap2::clap2::clap2:

Babu naona una mpango wa kutuuza hivi hivi!!
 
Kumbuka always unapokuwa kwenye JF unaobserve sheria na kanuni. Kule ban zipo kama kawaida lakini tunaamini hizi ban siyo suluhisho bali ni behavior change na kuelimishana.
Kumbuka kwenye Nick unaweza kutumia jina lolote kisha una log in. Upande wa chini kulia kwenye chat box unaweza kubadili nick yako anytime ukitaka. color scheme at your choice ukiwa kule.
Epuka kutumia CAPS kwenye chat kwani utakuwa penalized. Chochote ufanyacho kule ujue kipo under surveillance muda wote. punguza jazba, make new friends and punguza stress kwa kuchat na wengine.

Enjoy chating but not cheating!
 
Kumbuka kwenye Nick unaweza kutumia jina lolote kisha una log in. Upande wa chini kulia kwenye chat box unaweza kubadili nick yako anytime ukitaka.
Epuka kutumia CAPS kwenye chat kwani utakuwa penalized. Chochote ufanyacho kule ujue kipo under surveillance muda wote. punguza jazba, make new friends and punguza stress kwa kuchat na wengine.

Mkuu kwa sisi tulioishia shule za kata, hapo kwenye red umetuachia pale baraza la mitihani. (I hope sitakula BAN hapo)

Na hii kutufuatilia mpaka huku kwenye ruum, hamtaki wanachama wenu tuoane japo kwa muda? Sasa kwanini mfuatilie kutongozana kwetu?

Anyway, nasikitika kila nikijaribu naambulia ...NOT CONNECTED.....sijui mods hamtaki babu nikagulie kule au ni ushamba wangu....Naendelea kujaribu lakini, mpaka kieleweke (Dont BAN me kwenye chatruum pliiiiiz)
 
Kumbuka always unapokuwa kwenye JF unaobserve sheria na kanuni. Kule ban zipo kama kawaida lakini tunaamini hizi ban siyo suluhisho bali ni behavior change na kuelimishana.
Kumbuka kwenye Nick unaweza kutumia jina lolote kisha una log in. Upande wa chini kulia kwenye chat box unaweza kubadili nick yako anytime ukitaka. color scheme at your choice ukiwa kule.
Epuka kutumia CAPS kwenye chat kwani utakuwa penalized. Chochote ufanyacho kule ujue kipo under surveillance muda wote. punguza jazba, make new friends and punguza stress kwa kuchat na wengine.

Enjoy chating but not cheating!

Aiseee!!!! Kitumbua kimeingia mchanga l.o.l
 
msaada jamani nimesoma Makamba sekondari... na nimeshindwa kuconnect
 
Aisee dude, mi niko bize kukonekti tangu kumi na mbili usubuhi but holllllaaaaaaaaa!

Tutatongozanaje namna hii sasa?
 
Back
Top Bottom