Je, uelewa wako na uwezo wa kujenga hoja ukoje?

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,377
5,772
Habarini wana_JF hope mko gud wote.
moja kwa moja niende kwenye mada je? uelewa wako na uwezo wa kujenga hoja ukoje hapa jamiiforum's na huko mtaani kwako wakati ukitaka kueleza kile kilichopo kichwani mwako?

Maana ukifanya analysis kidogo tu ndani ya jamiiforum's members wengi hawajui kujenga hoja waandika bila kufikiria mpaka unajiuliza huwa watu wana_akili timamu kweli.

Thread huku ndani zimekuwa nyingi na za hovyo ni kwamba home of great thinker's tumevamiwa na wajinga au?

Je ni uelewa wako mdogo wa kupambanua mambo au ni kushindwa kujenga hoja??

asanteni nawasilisha.
God1stFamily2nd.
Welcome 2024.
 
Back
Top Bottom