JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....

kwanini umeanza kwa kucritisize yaani hata kama mtu hakuwa na hilo wazo basi akienda

kwenye hiyo party macho yake yatakuwa juu juu......halafu mtu akikusengenya unakufa

you have nothing to lose...maana hadi mtu age alofikia anakuwa kasengenywa na kusemwa mengi......
 
Unanidai zawadi nono ya Xmass 2013...

Tatunguline wo(man) akawepo katika dunia hii bila man?

Please Preta, rekebisha hii kitu haraka..

Babu DC!!

kweli babu wanaume tunawapenda sana......lakini kwa hili.....mtatusamehe............
 
Mimi nitakuja mara moja tu wala stakaa sana
kazi yangu itakuwa kuweka hidden cameras na sound/voice recoder!

kuna wanawake wanafanya hizo shughuli siku hizi......watakuwepo..........
 
kwa hiyo preta unataka kunipa bro wako sio?
 
Hata mabilionea wa Arusha wanaotaka kusponsor event nao hawaruhusiwi kuchangia?
 
Hata mabilionea wa Arusha wanaotaka kusponsor event nao hawaruhusiwi kuchangia?

tunashukuru sana kwa kuonyesha ushirikiano.....lakini wanawake wenyewe tunaweza.........asante.........labda siku nyingine.......
 
PRETA mbaguzi yaani ata PJ atakiwi?
Ata mie jamani?basi walau niwe DJ wa ukumbi mtakaokuwa mnajimwaga
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…