Hilo ni wazi wala halina na shaka, JF ni Chadema, Chadema ni JF. Na uDini upo JF.
Kutatuwa tatizo hilo kwa sasa sidhani kama litawezekana ki urahisi labda mpaka JF iwe ni kijiwe huru na ma mods wawe wanazi wa vyama tofauti na wadini tofauti na si kama ilivyo hivi sasa. Inaonesha wazi kuwa Mods wote ni Chadema na ni wakiristo.
I have a feeling Mbowe ndie mwenye hii JF.