Ukitaka mchumba, ingia jf
ukitaka kuchunwa, gonga jf
hureee!
ukitaka kufunzwa mibhange, gonga jf
Ukitaka mchumba, ingia jf
ukitaka kuchunwa, gonga jf
hureee!
Ukitaka mchumba, ingia jf
ukitaka kuchunwa, gonga jf
hureee!
ukitaka kufa kwa stress ingia jf.
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzishaukitaka ushushuliwe, post thread yako jf bila kuifikiria. Utajuuuuuuuuta
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzisha
tena jukwaa la siasa au anzisha thread ya kifala MMU....
natumaini upo poa best
Ni kweli..ila kuna baadhi ya majukwaa usiguse aiseee...Jukwaa la SIASA, Jukwaa la JAMII INTELLIGENCE ogopa...watu hawakawii kukupa za uso uki post pumba....na BAN kule zinamwagwa kama NJUGU.....Hahahaaaaaaaa! Acha woga! Mimi nisipopost utumbo sisikiii raha kabisa!
nipo poa best. j2 inaishaje sasa?
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzisha