Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,729
- 172,021
Hiyo ni AI broBro,mbona mim nawaona 😀
Hiyo ni AI broBro,mbona mim nawaona 😀
We mchane tu umemuelewa, mtumie kibunda apambanie Visa aje kwa Hitler ujitafunie free Mbususu non stop.Tulia jomba au we huwaoni?
lakini sijaona kosa lake maana amesifia tu na amesema ukweli kabisaHaiombwi hivyo bwana mdogo.
Huu ugonjwa wa kuanzisha anzisha mada kila mara ilimradi tu matokeo yake ndio haya🙆♂️🙆♂️🙆♂️
mwanamke mmoja kumkuta na sifa zote ambazo umezitaja ni kazi sana lazima awe na kasoro kidogo hapo katika hizo sifa.Wanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
Wanawake wapo wawili tu. 😃
😂😂 Daah.Tulia jomba au we huwaoni?
Eti madam Lamomy ndo huwa inaombwa hivi?Wanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
Neno kufukuzia linatumika kama Mwanamke ni BIKRAKuna wanawake watatu nawafukuzia humu,
Nikiwapata niratudi hapa kuchangia huu uzi na kuweka ushuhuda wangu,
Tafadhali Mod's msifute huu uzi,
Nitarudi.
Nani na nani? 😂😂Wanawake wapo wawili tu. 😃
Usijali Mkuu watakuja tu hapo utawaona.Nani na nani? 😂😂
Mada gani za FBHaiombwi hivyo bwana mdogo.
Huu ugonjwa wa kuanzisha anzisha mada kila mara ilimradi tu matokeo yake ndio haya🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Wanawake wapo wawili tu. 😃