JF kuna wanawake wazuri sana Mashallah

JF kuna wanawake wazuri sana Mashallah

Kama huendani nayo usiiangalie, usijitie majaribuni šŸ˜…

Cc Mbaga Jr
1793040754810.png
 
Yote ya yote secretarybird hongera kwa kurudi mkuu.

Samahani ni mimi na Mbaga Jr tulikuwa tunajadili mengi ingawa upungufu wako kwenye jikwaa pia ulizungumziwa(hii ID.)

Mkuu nipo season 1 na sijui ndio ipo hiyohiyo ya spatercus ingawa ninatarajia kuimaliza.

Ok naelekea kwenye mada sasa.

Yote ya yote ila hata yule mdada secretarybird ujue ni mzuri sana.
Inasikitisha sana mkuu šŸ˜Ž
 
Back
Top Bottom