Nimekuja mbio kusoma comment yakoNgoja nikachekee chooni
Hata sijui Dada πMarhaba mdogo wangu, ndio wewe?
Naskia ana undugu na ontario huyu jamaaId yako nyingine ni moja kati ya hizo ulizotaja hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutania mkuu
Mkuu kazi inaendelea...[emoji23][emoji23][emoji23] unatania kipindi kizuri ambacho Paw sio moderator tena [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama kweli unampenda why usitaje jina moja Ukute wote hapo wako kama Mimi ni huyo mwanamke naliamsha dude [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona hujiamini mkuu, au ndo unapiga ndege wawili kwa jiwe mojaNiseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa
nakupenda, niamini mpenzi
*°·.¸¸.° [emoji813] °·.¸¸.°*
Felister
yna2
doughter
feysher
Jamani shemeji/wifi yenu ni mmoja kati ya hao.
Nimekuja mbio kusoma comment yako
Utani wa ngumi huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Id yako nyingine ni moja kati ya hizo ulizotaja hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutania mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kazi inaendelea...
Enjoy safe browsing
[emoji23] mtu kama unaishi dar tu ni tatizo?Hivi nao wanaume wanafikiriaga kuleta thred kama hizi za kidemu? Ndio wewe pichani mkuu? Itakuwa uko dar?
Mtaje mmoja buana..mafungu ya Nini ?Hapana bhna yupo mmoja tu hapo mwenyewe anajijua jinsi nnavom-love [emoji9]
kumbe uyo ni broker.Naskia ana undugu na ontario huyu jamaa
Anatusanifu tu hapa
haukufukuzwa?Mkuu kazi inaendelea...
Enjoy safe browsing
Bia chupa nne au kreti nne?kumbe u mali ya jamaa harusini nitakuja kugusa plisner kreti 4
Haha hilo jina ukilitaja tu wahanga wanashuka na wew mzma mzimaNaskia ana undugu na ontario huyu jamaa
Anatusanifu tu hapa