xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,318
- 4,711
Mmh sijui kama nimeelewa.
Kama kweli unampenda why usitaje jina moja Ukute wote hapo wako kama Mimi ni huyo mwanamke naliamsha dude 😀😀😀Hapana bhna yupo mmoja tu hapo mwenyewe anajijua jinsi nnavom-love [emoji9]
Aisee una akili sana, kila mmoja anajijua kuwa ndio yeye anayesemwaHapana bhna yupo mmoja tu hapo mwenyewe anajijua jinsi nnavom-love [emoji9]
Nakazia 🤣🤣🤣🤣Aisee una akili sana, kila mmoja anajijua kuwa ndio yeye anayesemwa
Futa libaki jina moja 😀😀😀😀😀😀😀😀Shem, mbona kama unaleta uchochezi [emoji23][emoji23] usije sababisha vita ya 3 ya dunia
Leo ni jumapili boss 😊😊
Jina lako ni la kwanza kabisa nakusalimia wifi yangu wa ukweli 😃😃😃😃Leo ni jumapili boss 😊😊