JF KUNA WANAWAKE WAZURI NA WIFE MATERIAL

JF KUNA WANAWAKE WAZURI NA WIFE MATERIAL

Kwani kuna sheria inasema.kwamba wanawake wszuri sio wife material? Weae oa mke.sura ngumu kama jiwe mpaka unaona ainu kupita nae barabarani halafu ujitie eti ni wife material, nadhani pamoja na kuweza kumudu majukumu kama mke ila sifa nyingine kubwa ambaya unatakiwa kuitazama ni mwanamke anaekuvutia kwa maana ya sura,maumbile,tabia na vinginevyo,

Oeni wanawake wazuri

Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu

It’s more of subjective .
 
Dah...Kuna nyuzi zinatia hasira Hadi unatamani umtulize mtu kwa ubapa wa mgongoni[emoji35]
 
Back
Top Bottom