xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,318
- 4,711
- Thread starter
- #61
Siwezi kupunguza presha mkuu kwani mtoto ni mkali sana na ana kila sifa.Mbona kichwa cha thread na content haviendan punguza presha kijana sio unapewa maneno matamu unachanganyikiwa mpaka unashindwa kuandika uzi shaur yako utahama mjin hapa