nimetuma sana maoni lakini hakuna hata siku moja waliyorespond hata receipt ya post.
pili kama hawayatilii maanani maoni yetu humu sidhani itasaidia kwa mtu kujipendekeza kupost maoni yake ktk web hiyo.
tatu ni kwamba kama web ya state house haipo up to date unategemea uendeshaji wake upo makini kweli? nahisi ilikuwa
Mhh....nadhani wananchi inabidi tuwe ngangari kudai uwajibikaji wa vyombo mbalimbali serikalini, tetesi nilizosikia(naomba kusahihishwa) ni kuwa website ilitumia zaidi ya TShs 300 milioni sasa kama hakuna linaloendelea kama maoni yako yalivyo ina maana hela imepotea kama ilivyo kwa ufisadi mwingine tunaoujua.