jf kama umeme wa tanesco

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
dagmh hii wiki kuipata jf imekuwa kimagutu kama umeme wa tanesco mara huoooooo mara haaaaaaa.......huoooooo.....ayaaaaaaa......huooo....
though umeniwezesha kuwajua wadau muhimu through fcbk
 
lakini sasa leo wamesema general system maintenance is through....kea hiyo tutapata kitu kliaaaa
 
Yaani hawa jamaa sijui wana mpango gani tu na maisha yetu mateja wa Jf.
.
"HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU".
 
Mimi nshakua adicted na jf. 4sure, cant leave withou! Najisikia kiraruraru.
 
nimekuwa teja, teja wa jf... mh ntawezaje kuiacha kha! yan km ndoa bt ndoa kuna talaka et cjui km nini vile ambacho huez kuacha!
 
yani ilikuwa kama nimepigwa gumi la tumbo...
yani moyo ulikuwa unanikereketa vibaya sana nkawa najiona nna bonge la donge kooni...
IAM JF'AHOLIC...
 
na wewe kumbe uliona eeh.

mkuu tuliona amabvyo tumeteseka kila ukijaribu kufungua.....hakuna.....mara imerudi, na hivi huku Kibosho mvua zinanyesha na tope la kutosha ilibidi nibaki kunywa mbege tu na kula maparachichi, kule fesi buku sijapazoea
 
Kumbe kuikosa JF ni kama kutupwa kisiwani bila mawasiliano yoyote! Jana nimekuta wana JF kibao kule kunako FB. Wanatumia ID tofauti na zile za JF. Nimewatambua kutokana na kuchangia post ya Mimi Mwanakijiji; Mimi Mwanakijiji, aliomba wana JF wawe na subira kwamba maboresho yanafanyika. IDUMU JF!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom