ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
unamaanisha nini mkuu dadavuaUNAPOTAKA KUMTEGA PANYA UNAMVUTA KWA CHAKULA ANACHOKIPENDA
upo usemi chochote mkuuNipo tayari
upo usemi chochote mkuu
Kwanini Darmian.Tuliofungua akaunti JF kati ya mwaka 2016-2019 tupambane na hali zetu
Mbona hauonekani siku hizi aisee First Ladyunamaanisha nini mkuu dadavua
umeongea point my dear sema watu wa humu wanaogopa kujuliskana ndo shidaMimi nafanya jogging kila siku napenda sana sema muda mwingine nakosa kampani tuu!!!
Hilo nalo lawezekana bila hata kujuana ID zetu!
hahhaaaaaaaa umebadili wewe sio kufungua [jokes tu']Tuliofungua akaunti JF kati ya mwaka 2016-2019 tupambane na hali zetu
Watu wanaogopa mengi mpaka hii post wanaogopa Pengine umetumwa hahaah , au unaweza kuta mtu anatumia jina zuuri la kidada kumbe ana makende! Noma sana wasiwasi ndio akiliu
umeongea point my dear sema watu wa humu wanaogopa kujuliskana ndo shida
Naweza nikakuona sura ila nisijue ID yako, la muhimu ni kuwa na sehemu maalum ya kufanyia mazoezi tuu!u
umeongea point my dear sema watu wa humu wanaogopa kujuliskana ndo shida