Kenned david
Member
- Jan 11, 2013
- 17
- 3
Hey! TUtafutie jinsi ya ku2wekea Jf kwenye blackberry phones bax
bb washatelekezwa humu jf,especially os 10. Invisible
Kwa Z10 haikubali CHIEF MKWAWA.ya android inakataa kwenye os 10?
Kwa Z10 haikubali CHIEF MKWAWA.
Ok good news.Naomba nisaidie maelekezo jinsi ya kufanya@chief mkwawa step kwa step nami niweze kufaudu Jf kwenye z10.
bb washatelekezwa humu jf,especially os 10. Invisible
Kamanda CHIEF MKWAWA imekubali.GOD BLESS nilipata tabu sana for a year
kwa bb10 tumia amazon app store kupata apps nyengine za android kama camera 360 nk
Install Amazon Appstore
Vipi na Nokia Lumia inaweza patikana?
lumia si una store yako ya windows phone?
Hakuna jamii forums ya windows phonea
ilikuwepo ila waliitoakwa sababu wanazojua wao wenyewe
![]()