Niliweka Tangazo la mauzo ya nyumba, nikaweka picha, hizo picha moja ilipigwa ndani ya gari, wa kwanza kukoment, akahusisha utapeli sababu ya picha iliyopigwa ndani ya gari. Na waliofuata wengi wakaungana na yule wa kwanza. Bila kutoa vigezo vya maana, yani mtu sio mnunuzi, na wala uwezo wa. Kununua kinachouzwa hana ila anakua wa kwanza kuharibu, biashara za watu hapa.
Ingawa sio mwalimu mzuri nitajaribu. Kwa wanaotumia simu, iwapo umenzisha mada yako unataka kuweka picha au video, aidha unaka kuweka picha/video kwanza ama baada ya Maelezo. Nenda chini pandisha maabdishi huu chini utakuta maandishi yameandikwa, kushoto: Craete thread kulia: Upload a file bofya hapo kwenye upload a file itakupeleka moja kwa moja, sehemu ya mafaili yako simu unakohifadhia video/picha zako. Utachagua video/picha unayitaka utaipakia. Kama unachangia mada ya mtu unataka kuweka video/picha nenda kwenye send ambayo imeandikwa kwenye kisanduku cha bluu, huu take kulia Kuna mstari mweusi umejikunja Kama ofisi pini. Bofya hapo utakupeleka sehemu iliyoandikwa browse bonyeza hapo itakupeleka ulikotunza picha au video Na utaiweka.Mkuu eeeh,naomba unielekeze jinsi ya kuweka picha kwenye version hii mpya ya JF,mm imenizingua sana
Ingawa sio mwalimu mzuri nitajaribu. Kwa wanaotumia simu, iwapo umenzisha mada yako unataka kuweka picha au video, aidha unaka kuweka picha/video kwanza ama baada ya Maelezo. Nenda chini pandisha maabdishi huu chini utakuta maandishi yameandikwa, kushoto: Craete thread kulia: Upload a file bofya hapo kwenye upload a file itakupeleka moja kwa moja, sehemu ya mafaili yako simu unakohifadhia video/picha zako. Utachagua video/picha unayitaka utaipakia. Kama unachangia mada ya mtu unataka kuweka video/picha nenda kwenye send ambayo imeandikwa kwenye kisanduku cha bluu, huu take kulia Kuna mstari mweusi umejikunja Kama ofisi pini. Bofya hapo utakupeleka sehemu iliyoandikwa browse bonyeza hapo itakupeleka ulikotunza picha au video Na utaiweka.View attachment 325007
Ok tupo pamaja.Shukrani mkuu