Hongera saaaaaaaaaaaaaaana na naamini Mungu uliyemtegemea ndiye atakayekuwezesha kufikia malengo yako kimaisha. Muishi kwa upendo usio na unafiki na kamwe msiishi maisha ya kitamdhilia....Kuna waliokuambia ni mapema sana kutoa jibu ila naamini umerudi kwetu baada ya kuona kitu katika mwanzo wenu. Nitawakumbuka katika maombi ili mungu awaoteshee mapendo ya dhati daima.
Aaaah umeishiwa wewe jamaa? Kitaaani kote, kanisani, shuke ulizosoma mpk uje huku..halafu hapo hujamng'oa huyo manzi unasema umepata binti au binti wa kuwasiliana nae? Kuna jamaa alinambia mapenzi ya social medias ni mnakutana humu humu, mnatongozana humu humu, mnapendana humu humu, s*x chat humu humu, kukiss na kuhug humu humu, then mnaachana humu humu hata kuonana hamna..!..over...!
Mkuu hujapata hadi leo? Maana ulianza kitambo kutangaza ujue.
Kwanza ninakuhurumia na huyo wa mtandaoni.
Kama ulishindwa kumpata binti akufaaye kanisani, chuoni, sokoni, hotelini, mgahawani, kazini, kwenye daladala n.k ambapo ungeweza kumwona ni dhahiri hapo umekwaa kisiki cha mpingo.
Wako wengi ambao wameshalambwa mitaani mpaka wameshindikana then wanaona wakimbilie mtandaoni ili wawapate wasiowajua-labda kama na wewe umeshindikana mtaani kwenu hapo ntasema umepata wa kufanana naye otherwise ninaamini yatakushinda tena muda si mrefu na utakuwa ndo mwisho wako JF.
Kwa hiyo hao wa Makanisani,Mitaani,Mashuleni,Kwenye Daladala ndio Mabikira!!!Kwanza ninakuhurumia na huyo wa mtandaoni.
Kama ulishindwa kumpata binti akufaaye kanisani, chuoni, sokoni, hotelini, mgahawani, kazini, kwenye daladala n.k ambapo ungeweza kumwona ni dhahiri hapo umekwaa kisiki cha mpingo.
Wako wengi ambao wameshalambwa mitaani mpaka wameshindikana then wanaona wakimbilie mtandaoni ili wawapate wasiowajua-labda kama na wewe umeshindikana mtaani kwenu hapo ntasema umepata wa kufanana naye otherwise ninaamini yatakushinda tena muda si mrefu na utakuwa ndo mwisho wako JF.
Mfukua makaburiHongera
Hunter acha uchochezi..mi nimempa hongera..japo nimechelewa sanaMfukua makaburi
Hunter miaka mingi lakiniHunter acha uchochezi..mi nimempa hongera..japo nimechelewa sana