JF imeniharibia mtoto

katakuwa kanapitia rasimu ya muswada wa katiba mpya haka
 
Acha kututania wewe. Dogo anaonekana kabisa kazama sleazydream.com anakula kitu cha video. Si unacheki alivyojipinda. Shauri yako!!!
 
ataunguza malighafi na hiyo laptop.
 
Atakuwa ana download album ya Sugu, Anti-Virus.
 
mbona mimi sijamtaja asprin?
 
Aisee!:spy:

Subiri.................!😛hoto:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…