Bado mnasaini kwenye madaftari ya mahudhurio? Pole sana, next time lala na hii makitu iwe inakuamsha uwahi kazini.nipo mtandaoni..tokea alfajir...du ngoje nikaoge..!
Najua nitakua wa mwisho kusaini daftar la maudhurio...!
Nikifika kazin nitafungua tena JF