JF ilivyoua huba langu

Si mlishasema Ngombe hazeeki maini

Kwa sababu bado nguvu zipo na mnapumua tuendelee tu kuteseka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hahaha.............hatari Mkuu

Wakati wewe unamtumia kistaarabu kuna mwamba akipelekewa anayachapa na makofi, hapo ndiyo Wazee tukikumbuka machozi lazima yatutoke ๐Ÿคช
 
Wazee wa kubomoa๐Ÿ‘
Hatari Mkuu

Sisi Wazee tumezoea kabla ya kula tunasali kabisa then tunakula kwa Missionary wakati Vijana wakipelekewa ndiyo wanakula huku wanayachapa makofi kwa mtindo wa Popo Kanyea mbingu

Nikifikiria hili huwa nalia kwa Wivu haki ya Mama ๐Ÿ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakorii nimecheka sana....
Hiyo habari ya Kisirani sijui ni Upepo...Woiiiii
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
 
Labda asiwe mtu wa kuyaleta maisha ya jf katika mahusiano yetu
Sasa ukuu mchangamfu na naona afu kwangu naona auko comfortable story unazikatisha na sawa si lazima niingie katika mgogoro wa nafsi na nianze kuingiza maisha ya huku katika penzi mana kupotezea weengi hushindwa na labda kama akupendi anapita tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ