JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

yeaah do it mkuu
Poa
Niweke kwenye Listi ila so ya Makondaa,
Mana nisije itwa sentro nikakosa ka kubongaa,
So mleta mada fanya chapchap,
Fanya ima tudumishe hiphop,
Nakuaminia
We wa levo zingine/

Wanateleza ka bamia
Kwako wanatrot usipime.

Poa nakuweka. Sasa hivi ngoja tuwasubirie hawa jamaa wawili.
 
Mwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.

2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.

Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/

MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/

Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/

Nobody could do it
The way I get it up/

I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.

Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino

Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.
Jeeeeyeeeeh sizonjemadawa hapa

Nimesoma mistari yenu michafu/
Inanuka ndafu/ wanahiphop mnaishia kujisifu/ wakati nchi inatoa harufu/ soon tutammisi lufufu/ kisa mkuu wa mkoa ana mkono mrefu/

Hahahaha eti mnaita pambano/ mnataka malumbano/ nitawachapa kwa maneno/ bila kutaja yenu nomino
 
Jeeeeyeeeeh sizonjemadawa hapa

Nimesoma mistari yenu michafu/
Inanuka ndafu/ wanahiphop mnaishia kujisifu/ wakati nchi inatoa harufu/ soon tutammisi lufufu/ kisa mkuu wa mkoa ana mkono mrefu/

Hahahaha eti mnaita pambano/ mnataka malumbano/ nitawachapa kwa maneno/ bila kutaja yenu nomino
.. ngoja nikuadd kwa list.
 
yoo yia yiaa

wabunge wa viti maalumu skuizi hawana umuhimu.
sura zao kavu kama wamelamba ndimuu.
maswala ya umuhimu wao wanaleta usanamuu.
hoja zao finyu kama vile vifuko vya aiskrimuu.

yeah 255
Umetixhaaaaa mkuuuuuu we ni hatareeeee
 
Here we go !!


Kijana unashinda MMU huku ukiwasapoti LGBT/
Mwisho wako mubaya kama TVT/

MMU kilamember mjuvi wa penzi/
wamejaza thread kama inzi/

MMU utapata furaha ya mahaba/
Member wacheshi maneno Yao si haba/

Mapenzi Sasa weka mbele pesa/
Mabinti wa MMU wanavunga hawataki Pesa/

MMU inashangaza inapendwa na wengi/
Huku ikichukiwa na wengi/

Tatizo la MMU wanaubaguzi kama karanga/
Ni heri nikamsome intelligence-kiranga/






Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ni kwiiik kwiiik.. Ni ndan ya game kama mod.
Ni hatar zaidi ya nuclear nmekuja zamisha na cyo kuokoa..
Kua tayari kesha na kujikumbuka huu cyo mda Wa kutegea pambana jikomboe...
Ni kwiiik kwiiik!..
Na ni zaid ya thinker jipangeni mnaojiona mpo gotofani hii inang'oa msingi na cyo room.
Ni zaid ya vita dakika tisin ndio itimisho vuta pumzi pambana hii ndio game la kiume..
Kaza kaza ndio kwanza dakika ya kumi..
 
Nakeregwa hayupo hewani battle na Keyon. ..amesha anza mjibu then naye akujibu then uje umjibu tupige kura.
Ok mada ni nn? Mana natakiwa nichane kwa mada si kama yeye alivyoandika
 
Back
Top Bottom