JF Hip-hop frestyle battle

Naona unarukaruka kama umemeza kitenesi/

Michano yako inayumba blaza kaka we mwepesi/

Nachezea biti kwa tenzi producers wananita messi/

Mkulima napanda mbegu we kapande hela desi/

Kwa maneno machache picha kubwa inajieleza/

Form1 dume mashine sibust na mchuzi wa pweza/

Nikiandika ni lambogini kaa mbali mistari alteza/

Kacheze unapochezaga hapa kwangu hautaweza/

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha
Nagawa vina bila visa, kama penzi la Inna kwa Ivuga/

Bongo bahati mbaya huna viza, kupaa labda kwa ungo kuloga/

Nipo ligi soo, marapa kama wewe nawatomasa kama chuchu /

Daby ndiyo jogoo, nawapanda nitakavyo kwangu mwiko puchu /

Hauniwezi bro, uliza msimbazi niliikalisha kariakoo/

Wenzio kunichana wanaona soo, nimewapa tumbo la kuhara wanashinda choo/

Nagawa ban kama Paw, wee ni jplus mi ndiye Bigshow/

Nipo JF AM to PM, rapper feki subiri uhakiki wa JPM /

Ni follow nina mengi kama CNN, USA baby swagga za NN/

Natoka Chuga sio KLM, dogo bado unarisiti pepa la PCM?/
 
Wenzako hawatii kwato wakiniskia me nachana/
Me&u ni kama battle ya ebay na kupatana/

Wewe hufai huku japo umshabiki mzuri sana/
Kama parade ya kuku vina vyako vinaparangana/
Form1 nasaka buku we shinda hapa usiku mchana/
Nachukia chukuchuku na ndiomana napambana/

Daby mtoto wa kishua ukijamba unaambiwa pole/
Hii ni bokoharam tour usilete za kilokole/

Next time acha mchecheto kabla hujamess na jini/
Hapa ndo ushakuja gheto huku umevaa bikini/
Sawa msela alotoa beto kifuatacho usiulize nini/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /

mapozi yenu ya nainai, sio sumba wala Tanga Daby halogegi /

Sitetereki nipo imara, jipangeni MMU , la wakubwa mpaka la siasa/

Keyboard nimeishika bila papara, jipangeni huu ndio muda wa kuwapapasa/

Mi ndiyo tycoon, nawapeleka mombasa kama falcon/

Tena I'm The Boss, mtanashati zaidi ya Hance/

nawaona Nyani dizaini Ngabu, kaeni mbali mi ni Asprin babu/

Bila utata namwagika, sina utata kama nyuzi za Monicca/

Mnafyumu kama mnapumu, hii taarifa wekeni dada zenu mbali na Kaboom /

Mtakatifu wananiita Saint Ivuga, natangaza ndoa na Inna mtoto wa arachuga/

Sitafuti kama miss, ila na element za ki-chagga cash sipendi kuzi-miss/

Kila napopita wananiita, mshindi ndiyo mimi muulizeni emmyta/
tuliza domo mropokaji, huna vina ila taarabu/

kwenye kusuta we ni gwiji, tulia uvalishwe hijabu/

pumba nyingi eti gwiji, shika mistari ya vitabu,

conscious gan huna vina, una chana maruhani/

kaa chini pakwa hina, acha na hizi fani/

I'm here to burn the fable, and leave you as ashes/

And turn the table, make you eat with pigs/

Learn if you're able, 16 shots by radiation rays/

Straight out the stable, labled a lot of stars/

hizi taarabu waachie jahazi, jifunze tungo tata/

vina verse kali huwezi, utaishia kubwata/
 
Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /

mapozi yenu ya nainai, sio sumba wala Tanga Daby halogegi /

Sitetereki nipo imara, jipangeni MMU , la wakubwa mpaka la siasa/

Keyboard nimeishika bila papara, jipangeni huu ndio muda wa kuwapapasa/

Mi ndiyo tycoon, nawapeleka mombasa kama falcon/

Tena I'm The Boss, mtanashati zaidi ya Hance/

nawaona Nyani dizaini Ngabu, kaeni mbali mi ni Asprin babu/

Bila utata namwagika, sina utata kama nyuzi za Monicca/

Mnafyumu kama mnapumu, hii taarifa wekeni dada zenu mbali na Kaboom /

Mtakatifu wananiita Saint Ivuga, natangaza ndoa na Inna mtoto wa arachuga/

Sitafuti kama miss, ila na element za ki-chagga cash sipendi kuzi-miss/

Kila napopita wananiita, mshindi ndiyo mimi muulizeni emmyta/
Khaaa.........!!!
 
Rappers wengi fake, ka degree za tz /

Kilaza Nisnitch upate kiki , kesho ukauze kwa tmz

It's not me, ila God ndo kanibless me/

Mkali wa enzi, ka jeme duprii

Hello sukar ya warembo, nakusarimu ndimu mkata shombo /

Mkali kitambo, kwenye military ranks we ni mgambo

Jf imenilea, toka sijui kuandika /

now npo kwa tasnia ,na wa kongwe tunawajibika

Narudia tena the gas Jina, uwezo mkubwa ka waves za Katrina /promo Sina, japo mistari Yangu mikali ka movie ya sarafina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nausaka kila nikipata mawazo,

Unaniondolea stress na kila nilivyo navyo,

Na shughuli naionyesha ninavyokaza michano,

Wana you are so weak, kichanga cha siku saba,

Humu jf kwa freestyle mi ni baba,

Usinivagae utavaba, labda uchukue umama,

Kwenye ubaba utakwama kidume ninatawala,

Am a freestyle beast nyinyi ni chakula changu,

Munching on yo' brainless heads mpaka ziende stress zangu,

Papatikia hizi swaga kama mshua Moi na machangu
 
Marapa nawasomesha Imla, wengi mpaka mpigwe jeki nyuma la sivyo mnaelekea kibla/

Si sizi japo nainyonga rizla, voko tindikali naogopeka kama Hitler/

Jichanganye nikuvunje bikra, napata ghadhabu napomkumbuka mshkaji RIP ibra/

Nakiss mice, flow nice, terabyte kwangu usjijaribu kupick fight/

Wee nyonya myk, tena twice, kisha sogea nikuvue tight /

Na speed kali wananiita Bolt, marapa nawapanda naona wapo Hot/

Gusa unase msee niko na shot, akili finyu fupi kama kimo cha Joti/

JF ilikuwa zamani, leo imeisha utamu afadhali hata wa Anjari/

JF warembo amani, msikae mbali nami ndiye asanali/
 
Mc feki michano feki uhalisia wote kapuni,

Hauna mwaka na unaijua jf ya zamani,

Mzee unaleta utata unavyotuletea matani,

ni id nyingine au umechoka kua mtazamaji,

Umeamua kuingia ndani na kutest mazali,

Bas haina noma tukutane kwenye freestyle
 
Hili ni battle la kitoto, dotcom wasio na vina

Mwana tembeza moto, nile mmea nipate stima,

Nikiona watoto wa Sirro, mtu mzima jani nazima

Kisha namwaga zogo, mshike mshike thread mzima

Wale nawapa shoto, dogo Daby nae kazima

Yule navunja ugoko, wengine nduki speed ya Beemer

Mnaleta stori za battle mbele yangu watoto wa mama?

Life langu ndani ya ghetto, chuo kikuu na bank ya vina

Mashairi yenu kisado, kwenye lumbesa yangu napima
 
Huu mwendo si kitoto,
madogo hatuendi sawa/

Home si kigogo,
Gomz wala popobawa/

Mchafu nakupa kisogo,
kata gogo kisha nawa/

Weka mdundo twende sawa,
Nizame booth nitoe bawa/

Niruke kote mpaka Ottawa,
Nifunike kipusa mpaka hawa/(wcb)

Natiririka kama shawa,
Nanasafiri kila anga wanasema daby anambawa/
 
Nilikuwa kimya nawasikiliza wa i.g

Nimegundua wengi zilipendwa na seduce me

Wanavyosifia undaki kama hakuna na mc

Eti bora atukaniwe mama mara flani anagawa naniii

Ila the real mc maboya hawanipamii
 
Nazua vurugu mech,kwa tasnia/

Mtanza,nisiye na nia

Kasome bibilia,hakuna bikra ka maria/

RIP msukuma ,ulietangulia

Yess I got ma superman power, n' this is last hour/

Chagua moja, kula ama kunawa

Vunga ka una chawa,ama piga kimya ka umepitiwa na popo bawa/

Vaa ndomu yenye kupwaya, upotee ka king power

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajiita maMC, na mnarap Pilipili/

Ni sawa ugonge suti, na ukakosa usafiri/

Punguza munkari, kariri mistari/

Sio kuruka sambasoti, na umevaa msuli/

Nifico.
 
Na mimi natakaaaa

Yo yoo yo

Si njema hali tangu umekuja ndani

Nasikia ulitabiriwa ila sijamjua nabii nani

Sifa yako kubwa unakuja rudisha amani

Ila dah naona ndo nimezidi kuwa gizani

Life imechange ni mwendokasi

Ni vile nilispend unalipa kisasi

Sijui ntafanyaje na sina wazazi

Ooooo Ooooo nipige kaziiii
 
cjui nianze vip, au nianze wap?
zilipendwa nikumbushen misoso yu wap?

mchezo hatari, nimekuja na beto.
wengi BBM mnaumizwa na nyeto.

mistar smooth ina tiririka.
kam liver nile mpka misri inafika.

kama bashite acha ni score zero.
ila tukienda kwa boss mi nakuw hero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom