Mask on mask off vua hilo mask shit,
Castr nimerudi na mistari so sweet,
Nikawapiku wajinga wajinga waliotaka bifu,
Crushed em so hard ushindi ukanikifu,
Thought am done? nazinduka ka Lisu,
Huu uzi bingwa mimi ujinga peleka kwingine,
Umejaa umama mwingi mi ndo mwanaume mashine,

i wish.
.