boniuso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 924
- 1,292
We fala una kelele, lakin ni mcee uchwara .chalii umekwisha leo umekutana na ninja anayemiliki bahari ya michano
kuna mc na mbwatukaji we ni kibweka uliyevamia game rudi kwenye dance ukate viuno
hii haiko copy na kupest soon utaflot kwangu ni ngazi kwa ngazi mi ndiyo dokta kwako lazima nikung'oe jino
nakuchapa stick ya michano we ni dent kwa hii tasnia na unamalazi kibao kimwili unumwa gono
Naona una kipele, sasa subir uone tunavyo kupara.
Sijui hata una freestyle nin, ungelala ukuwe.
Umepoteza marinda nini, unachekesha ujue
unanisikitisha kumbe hauchani ila unaimba