Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
arusha in life ni mkoa wacha nirudi kwako castr wakujipodoaBaba umetunga mistari halafu mdada amekausha,
Mti mgumu wa msonobari kaza labda utauangusha,
Inna ona noma hebu acha kujizungusha,
Saint Ivuga kakukubali anataka uwe mamushka,
Mwana anataka mfunge ndoa fanya kumpa ruksa,
Unga ushemeji na Daby mkakutane Arusha.
mi ndyo jembe bob nakuchana mwanzo mwishovmi kisiki huwezi ning'oa
kama vipi njoo ghetto nikupe miti kwa hii baridi dar siku nzima leo ni mvua
check text kwa hyo sim yako nimekutumia nauli kwa mobile service usisite kutokea
napata raha we ndiyo qeen pliz usiniangushe i biliv huu ujumbe unakufikia
hey daby msisitize castr aweze kuibuka kuna bonge la zawadi nimemuandalia
ha ha wacha nicheke tu castr she is beautiful siyo mchoyo ndiyo maana namfagilia
nakushangaa ray c may be nikuite castr c kunatetesi we ni kigoli