Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,252
- 2,314
MI WA Mzumbe mkuuHivi wewe wa mzumbe mkuu!
MI WA Mzumbe mkuuHivi wewe wa mzumbe mkuu!
Ndio kwanza Niko mwaka watatu mkuuFrege Frege unamjua? Jamaa alikuwa ana fresstyle saana
Umetoka mu Mwaka gan mkuuAah huwezi kumjua....MU napakubali saana mkuu. Msalimie mama Eric kama bado yupo uswazi ya Juu
Powaaa ntakuchanaTeh vip
Unataka trash talk muuhfucka umefika,Huyo utambaka..
Njoo kwa Mimi kaka wa makaka..
nina Uhuru pia madaraka..
JF ma-snitch wengine motherfacka..
sikulazii damu..
nakula ndogo ukinipa kubwa naskia utamu..
napiga voda napiga pia tigo.. we kidenti subiri nikuvushe wigo..
mwambie shoga yako miss chagga nina bonge la muhogo..
ariff Leo mashabiki watakukana..
twende kote ruksa kutukana..
tukana kijanja usitukane hadharani..
Mkuu Invisible atakupiga Ban..
Kama nimekukosea basi samahani
Mwambie huyooyoooooooooooooooo una bonge la muhogo ila huna pesa ,
we ni mzigo kama mizigo mingene
kama vipi nipotezee
vingine havina maana kama verse ulizochora fake mc kama wewe hii haikufai tafuta mishe nyingineUnataka trash talk muuhfucka umefika,
Mtengwa alishindwa hii walk sasa hiv kajificha,
Ishakua noma wananiquote mpaka vifurugobe,
Mkuu una mipasho au hii ni id ya Kaoge? Jitahidi kukaza mbona una mistar ya kinyonge?
Ngj nchukue tren ya Magu nkifika nkugonge, vtu vya moto skumwagii yani ni mpaka uombe,
Hiyo ni mistar ulidhani nini kingine, hua namwaga mistari wala simwagi vingine.
Najua unawanga ukiniona kwa anga ka Swispot/ mc natema sound ka disco/nakuchek unavyohema nikikutekenya G spot/huwezi nidiss bro nakukalisha kimwili and spiritual/na kill flow unabisha nikuoneshe navyosteal show/huna vina na huwez kurap/nikiibuka mtu mzima huwez nistop/am on top we ni fanz na inabd uclap/me ndo gwiji na ntazidi kuwakalisha Manyapu!,shakespear me ni wiliam don ka JAZZ
gang fill out nakujaza ka blanks
sio multpochoise
me ni mark ka frog
nawafunga mawak wananiita nati la choo
baki la boo
nakuchinja kimya kimya na utataka tu more
unaniimbia nakuhitaj ka gaz t
washamba mnakufa maji ka young dee
dadaako namuoa tsup she
wanaodis wanapa high wasuck dick
flow disco light namulika mpaka shimoNajua unawanga ukiniona kwa anga ka Swispot/ mc natema sound ka disco/nakuchek unavyohema nikikutekenya G spot/huwezi nidiss bro nakukalisha kimwili and spiritual/na kill flow unabisha nikuoneshe navyosteal show/huna vina na huwez kurap/nikiibuka mtu mzima huwez nistop/am on top we ni fanz na inabd uclap/me ndo gwiji na ntazidi kuwakalisha Manyapu!,
flow zako vina malenga ka kiuno umelega legaOk ok naona umeamua kuyavagaa ungetulia huko huko kama kuku anayetaga,
Umeingia mbio mbio kama mlevi wa safari laga,
Mistar so poor haimpati hata miss chagga,
Kwakua umejileta haina noma nakulaga,
Show bado hazijaisha endelea kujifunza swaga,
Unatumia siku 3 kufikiria cha kinijibu, hauko levo yangu hivi kweli huoni aibu?
Ubishoo mwingi mistari hovyo kama virasta vya Chibu,
Tia sana vitasa siku nyingine usinijaribu, kila ukiniona toa sura ntakuharibu,
Umekuja wima wima ona sasa umekaa, kwenye freestyle wewe bado ndiyo kwanza unatambaa.
Mzee umenirukia kwa bashasha ila sasa unafeli,vingine havina maana kama verse ulizochora fake mc kama wewe hii haikufai tafuta mishe nyingine
leo upo nami plan master nakupa somo kwa darasa ili uelimike uwe strong na upambane
how you can be in better flow ciz upo simple kwa hiyo michano kamwe hauwezi kuscore
sikukatishi tamaa iko ivo nakupa fact unaflow bila evidenc kama ujazo we ni puto ila unajiita mnene
still i will beat u ubongo wako haupo quality hata nikikutrain hautokwiva lazima ujikane
ngoja nikuache bwana mdogo hauwezi kucompit leo nimekuja kiivi next i will be kivingineView attachment 499420
Kata pua yako we wacko tako/nakata funua naua we na mentor wako/ mtaa unajua navyomtumbua anonymous/in da house ila natema flow behind bars/huwezi race acha kibesi/kwa tetesi nitakukamua mpaka kinyeshi/na battle kijeshi we mshamba uwezi tamba kwa kiwavi jeshi/nakuharibia public sikupeleki gesti/me ni Mc mahiri/natoa dalili mtaa ukujue we Mc batili/pinga ndumba omba albadil/bado utayumba mbele ya nyota ka alfari/au bashiri nani atakae kuharibu hadi sehemu za siri/Game ndo hili free style we kaririflow disco light namulika mpaka shimo
ndoo mr nice kikuku mguuni imo
nasalisha maninja niite don boscow
unawakilisha maboko niite j nyoso
j popo
nikipaa wanasema j nyoko
sio j alosto
nakunyima dawa nakupa reli niite j ********
me ndio profesor damn shit niite j toto
fidodido wapi fidovato
nnahasira za mvuvi cheki hasara plane nothing bought
muthapuka mzee wa akapuka ni aje bro
muko so many amba mumeniquote
kaa pembeni nakate washamba wenzako
ukimind dem wangu niite AKA MME WAKO
nakata pua naunga wajihi kama wako jacko