JF Hip-hop frestyle battle

Yeeeh ahaaa
Kwangu mchongo ni pesa mapenzi peleka tanga/bila ndumba natesa siitaji bingo kwa mganga/ nakesha naiwaza kesho sio leo ilio potea/kwako unamwona spesho mi mtumba nilie mzoea
 
miss chagga njoo kwangu
mapenzi ya kichaga utaata kwangu
kuhusu mbege na mashalari nitakupeleka kwa bib yangu
naamini ww niwamilele kwangu.
 
miss chagga njoo kwangu
mapenzi ya kichaga utaata kwangu
kuhusu mbege na mashalari nitakupeleka kwa bib yangu
naamini ww niwamilele kwangu.
 
sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazingu
 
sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazingu
 
sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazingu
[emoji16][emoji16]. Skia hii
Yooh
Naficha uso ka frasha
Nilivyo na doo nafanya shopping engarasha /

Kwq habari nawapasha
Mshakuwa mawet kama mvua ya rasharasha/

Kwa jiwe moja naua pacha
Na impress mpaka west muulize hata kadarshan/

Nawastusha la hasha
Mamc Nawaanika kama bidhaa kwenye tamasha /

Tehteh
 
Daby yuko wap lusematic/nawait battle au kaogopa magic/flow logic mpaka luse kawa static/ Ok unataka nibatle kuhusu Ban/ ni tadrop ila me ni mgeni humu ndani/Ban niloijua ilikua ya bibie faiza Fox/nikajiuliza kipi kimemtoa bidada outbox/maoni nikapata kavunja rules/ na akapigwa Ban kwa kuwekea uso wa Mbuzi/Jf Ban haijali we ni nani/ be humble mipaka iwe hata kwenye matani/sio matusi ya nguoni dharau na kejeli/lugha za kibabe kwa kujifanya makaveli/utapigwa Ban nakueleza huu ukweli/ facts za uongo kutupa madongo/kuitukana serikali ya bongo sio ya kongo/utapigwa Ban asee tuliza bongo/tena we kaa chonjo/usije dondoka ka kimondo
 
Nimetok hustlin
Nimeza mchezon
Sijui mnaongea nin bt nimeamu ku break in
Mim ni man alone
Full package mgongoni
I take over wherev i step in

Mind ur hair off my crown
Yeah am king n i run this throne
Kawatel lame wanaojjsif ku run town

Am lion not you pupy, Copy....::!!
 
Mbona mpo kimya kama ukimya/mmezima kama mwanga bila uzima/mmerudi kwenye ujima/Freestyle jukwaa ndo hili/for r
eal tudrop bars like meek mil/ punches Which can make mil/still like DRE,steal night and bring light satan D.I.E,no one can be like me
 
Mbona ww haupo au unajua utawafunika
 
Haya mapenzi yamenilewesha, zaidi ya bashite na madaraka

Najitahidi kuyacontrol, yananiangisha kwenye flow

Nashindwa kukimbia, nabaki kucrawl

Kwako me nimekuwa teja, ka kusoma story za bold na lege

Mtoto usiniweke alosto, utanifanya niwe lege lege
 
mpinzani wangu unamistari soft kama pepocon huwezi pambana na mm mistari yangu inatumika kama kondom
 
mrembo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…