JF hamjambo?

JF hamjambo?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
 
Hahahahahaaa kijana nomaaaaaaa
Dah leo kanifurahisha sana kiukweli dah
Mwali umemwona?

nimeshautana naye ...ndio namsalimia huku na kumchunguza kama kuna alama zangu niliziweka kabla sijaondoka
 
nimeshautana naye ...ndio namsalimia huku na kumchunguza kama kuna alama zangu niliziweka kabla sijaondoka
Hahahahaaa alama utazionea wapi?
Yuko poa siunaona kabadili na viwalo kisa wale macho juuujuu wasimjue kwa haraka maana walikuwa wanahahaaaa eti wanataka kumsomesha mara oooh atakaaje muda wote bila ile kitu hadi urudi....
Yan hawafai....
Ukitaka nikutajie ntakuambia ni akina nani
 
hahah...leo lazima patachimbika ngoja nimalizie kumkagua..nikikuta kasoro lazima nije kwako hapa unipe info na una zawadi yako mkuu wangu
 
hahah...leo lazima patachimbika ngoja nimalizie kumkagua..nikikuta kasoro lazima nije kwako hapa unipe info na una zawadi yako mkuu wangu
Hahahahahaaa zawadi yangu ni kamoja au?
Hahahahahaaaaaaa nashukuru in advance mkuu
 
Hahahahaaa kwani akinipa kandovu kamoja kuna ubaya?

mimi tu ndio ninayeruhusiwa to take a closer look. au ulimaanisha hivi?
430518_320674981300927_312547905446968_818389_351319446_n.jpg
 
Back
Top Bottom