JF haina mshindani, ni zaidi ya newz media zote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF haina mshindani, ni zaidi ya newz media zote!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Jan 12, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukichanganya News-media zote hapa bongo (magazeti, tv, redio, blogs) haziwezi kufikia JF kwa kuhabarisha umma tena kwa gharama nafuu sana. Kunapotokea matukio muhimu na ya kuamsha hisia za umma, kama tukio la mauaji ya Arusha na hatimaye shughuli za kuaga miili ya marehemu waliopigwa risasi katika viwanja vya NMC, utagundua bila ubishi wowote kwamba JF ni No.1 napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana-JF wote!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  True that!
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni kweli ndugu, kwa muda mfupi niliokaa humu, nimeipenda kwa kweli. big up
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,945
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Hii ndio JF ambayo inaweza ikawa chachu ya mabadiliko
   
 5. c

  chelenje JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 556
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  true 100%
   
 6. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ninakubali. Niko nje ya nchi lkn nimefatilia habari zote za msiba. Keep it up JF
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,328
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  amen
   
Loading...