Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?Nyani Ngabu kwanini lakini umekazana kutoitakia mema hii party?
Wewe sio mgeni humu Jf na party zote 3 zilizopita ulizisikia na wala hakuna vita au kitu kibaya kilichotokea.
Haya maneno yako unayoleta ya sijui nani kafanya nini, sijui ikiisha salama bila mtu kupigana utashangaa,
Why ugomvi na huyo mtu mmoja ukazane kutoa kasoro party yote.
Sisi tumekubali kubeba lawama, itokee vita, vurugu, fumanizi, magombano sijui mabomu....bii mizigo yooote tutaibeba sisi ila suala la kusema sijui kutatokea nini na nini naomba uachane nazo.
Baraka za kufanya Party tumepewa na Jamii media chini yake kaka Maxence Melo na dada AshaDii.
Samahani, tunaomba tufanye party salama na tumalize salama.
Changamoto zipo kwa kila jambo si hapa tu mpaka katika maisha yetu halisi
Tunakubali kubeba lawama.
Ila naomba punguza vitisho ambavyo havina tija katika kuelekea kuadhimisha hii party.
Asante.
Nshasahau bana kumbe twaenda wote... Nguo na viatu unnunulie lakiniWe si tunaenda wote....au mara hii ushasahau?
Akulipie salama.Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?
Party itafanyika salama mwaya tena na atanilipia ngoja nimshike shati
Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?
Party itafanyika salama mwaya tena na atanilipia ngoja nimshike shati
Kwahio nimefanya kosa kusema nasafiri sitakuwepo? Au ni lazima kila aliechanga aje?RRONDO sikia mkuu.
Changamoto zipo kwa kila jambo.
Ikiisha salama, isiishe salama, sie waandaaji tumekubali kubeba lawama.
Bro...mbona nakuona gentleman sana.
Unaniangusha sana mshkaji.
Duhh!!!!
Huyu dawa yake siku hiyo tunamchangia mi nang'ata macho we unamshindilia mangumi kifuani Mzigua90 anapiga pale katikati na wengine kuliko bakiAkulipie salama.
Ila jua humu kuna new members, guests kibao, old members pia....unadhani wote watajua kama anafanya ukichaa wake.
Okay
Leta usije kosa kiti
We nakuweka kiporo nitakupasha badaeHahaaaa ndo wale wajinga wajinga watakitambua hicho kichaa changu ana kwa ana!
Watu mnadhani natania.
Mtakuja kuurejea huu uzi nawaambieni.
Huyu dawa yake siku hiyo tunamchangia mi nang'ata macho we unamshindilia mangumi kifuani Mzigua90 anapiga pale katikati na wengine kuliko baki
Rudi juu kasome nilichoandika.
Sio lazima
Hakuna hiyo.Hahaaaa ndo wale wajinga wajinga watakitambua hicho kichaa changu ana kwa ana!
Watu mnadhani natania.
Mtakuja kuurejea huu uzi nawaambieni.
We subiri uone utakavurudi na ngeu home utajuta kunifahamu tehHahahaaa Muree bana.
We kweli unaweza kunibonda mimi?
Kwanza ngoja nifanye booking ya kile chumba kile....kinachotizama baharini.
Karibu sana mkuu.Mungu nijaalie uzima nihudhurie hii kitu. Tokea 2014 nilijisajili humu ndani cha ajabu hadi leo sina hata mtu mmoja nje ya jf ambaye najua yupo jf
Nakuangusha kwenye nini? Unaniona gentleman ,nakuangusha sana. How?RRONDO sikia mkuu.
Changamoto zipo kwa kila jambo.
Ikiisha salama, isiishe salama, sie waandaaji tumekubali kubeba lawama.
Bro...mbona nakuona gentleman sana.
Unaniangusha sana mshkaji.
Duhh!!!!
Sawa. Nilichokwambia ni kuondoa jina langu pale juu(though nilikwambia uliweke kwania nzuri tu.Hahahahahhahah
Mkwara mmoja.
Unatafuta wa kukava.
Hhahahhahah
Jf raha sana.
Anya way....
Kama ndio uliogopa kilichosemwa, unaniangusha sana.