Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,561 Sep 14, 2018 #121 Don Clericuzio said: Naiona janja yako ya kutaka kupanda mishkaki... Click to expand... Haaaaa Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri..
Don Clericuzio said: Naiona janja yako ya kutaka kupanda mishkaki... Click to expand... Haaaaa Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri..
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Sep 14, 2018 #122 King Kong III said: 😀😀😀😀😀😀😀 Nataka nije DSM kusafisha nyota na Mrembo mtekemteke hawa wa huku porini ngozi ngumu kama ya goti nishawazoea. Click to expand... Asee
King Kong III said: 😀😀😀😀😀😀😀 Nataka nije DSM kusafisha nyota na Mrembo mtekemteke hawa wa huku porini ngozi ngumu kama ya goti nishawazoea. Click to expand... Asee
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #123 Nokia83 said: Hapo kwny masharti ya mavazi patawashinda watu wengi sn. Baada ya kuona hizo picha nadhani maudhui ya hii party yameelekea pengine. Kuna watu wamezoea kuvaa kwa kujisiritiri ukishambadilishia mavazi aliyozoea ni shida Click to expand... Atakaeshindwa kuja sababu ya dress code atakua na sababu zake nyingine.
Nokia83 said: Hapo kwny masharti ya mavazi patawashinda watu wengi sn. Baada ya kuona hizo picha nadhani maudhui ya hii party yameelekea pengine. Kuna watu wamezoea kuvaa kwa kujisiritiri ukishambadilishia mavazi aliyozoea ni shida Click to expand... Atakaeshindwa kuja sababu ya dress code atakua na sababu zake nyingine.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #124 King Kong III said: Madame B nitafutie mrembo mteke mteke wa Kinondoni awe Shombeshombe hips ya kutosha na inye gwedegwede chuchu konzi saa 6 aende hewani sekunde naandaa mzigo wa kutosha nije huko DSM kwenye party together. Click to expand...
King Kong III said: Madame B nitafutie mrembo mteke mteke wa Kinondoni awe Shombeshombe hips ya kutosha na inye gwedegwede chuchu konzi saa 6 aende hewani sekunde naandaa mzigo wa kutosha nije huko DSM kwenye party together. Click to expand...
khaligraph JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 1,147 Reaction score 1,075 Sep 14, 2018 #125 Huu n mvumo wa radi. . mbinu mpya ya kupiga hela. #wajanja wa mjini
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #126 Kichwa Kichafu said: Maisha ya nyuma ya keyboard kuwa reality. Tulio koromije naona party imetukosa Click to expand... Poleni
Kichwa Kichafu said: Maisha ya nyuma ya keyboard kuwa reality. Tulio koromije naona party imetukosa Click to expand... Poleni
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Sep 14, 2018 #127 cute b said: Soda moja, juice ya box ya embe (azamu) Click to expand... Kuna kitu unanitafuta naona, na utakipata.
cute b said: Soda moja, juice ya box ya embe (azamu) Click to expand... Kuna kitu unanitafuta naona, na utakipata.
marcoveratti JF-Expert Member Joined Sep 21, 2017 Posts 1,092 Reaction score 1,917 Sep 14, 2018 #128 Ahaa
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 14, 2018 Thread starter #129 General Mangi said: Wasiojulikana tutakuepo!! Kuna watu humu tunawahitaji Click to expand... Ngoja nikupe ban utulie. Unawashwa sana wewe
General Mangi said: Wasiojulikana tutakuepo!! Kuna watu humu tunawahitaji Click to expand... Ngoja nikupe ban utulie. Unawashwa sana wewe
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #130 Ambiele Kiviele..naona walike tu
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #131 fundi bishoo said: 50?? serious kweli jamani wekeni coco beach pale full nyomi Click to expand... Mkuu coco pakubwa sana labda watoto wa after school bash ndo wanaweza pataka hapo
fundi bishoo said: 50?? serious kweli jamani wekeni coco beach pale full nyomi Click to expand... Mkuu coco pakubwa sana labda watoto wa after school bash ndo wanaweza pataka hapo
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #132 Bilionea Asigwa said: Dah Yaani watu hamsini tu?? Hapo itabidi nisubiri ile kitu inaitwa fungulia dogi. Ila lazima nihudhurie hii piga ua. Click to expand... Hahahahahaaa
Bilionea Asigwa said: Dah Yaani watu hamsini tu?? Hapo itabidi nisubiri ile kitu inaitwa fungulia dogi. Ila lazima nihudhurie hii piga ua. Click to expand... Hahahahahaaa
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Sep 14, 2018 #133 charminglady said: Aiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata... Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party.. Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo Click to expand... Unantamanisha!
charminglady said: Aiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata... Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party.. Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo Click to expand... Unantamanisha!
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #134 Daud1990 said: Lazima nitakuwepo party ikiisha nanyoosha mpaka gheto Tegeta na mchuchu wangu Click to expand... Mchuchu utakuja nae at utamuibua siku hiyo mkuu?
Daud1990 said: Lazima nitakuwepo party ikiisha nanyoosha mpaka gheto Tegeta na mchuchu wangu Click to expand... Mchuchu utakuja nae at utamuibua siku hiyo mkuu?
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Sep 14, 2018 #135 Madame B said: Ngoja nikupe ban utulie. Unawashwa sana wewe Click to expand... Sawa mimi nawashwaa!! Ila we tunaekujua kwa biashara haramu hatupati shida na wewe
Madame B said: Ngoja nikupe ban utulie. Unawashwa sana wewe Click to expand... Sawa mimi nawashwaa!! Ila we tunaekujua kwa biashara haramu hatupati shida na wewe
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Sep 14, 2018 #136 General Mangi said: Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications. Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa. Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani. Click to expand... Mkuu unapajua hapo kwenye hilo eneo? Haya mzoefu ulikua unataka twende wapi?
General Mangi said: Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications. Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa. Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani. Click to expand... Mkuu unapajua hapo kwenye hilo eneo? Haya mzoefu ulikua unataka twende wapi?
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Sep 14, 2018 #137 witnessj said: Unantamanisha! Click to expand... Saiv JF imeingiliwa na watoto yaani shida tupu...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,884 Reaction score 129,910 Sep 14, 2018 #138 Don Clericuzio said: Nashukuru mmechagua karibu, maana lile wazo lako la Kigamboni lilikuwa linanifikirisha balaa. Click to expand... Karibu kwako mkuu...mimi wa Gezaulole imekula kwangu,siwezi kuja
Don Clericuzio said: Nashukuru mmechagua karibu, maana lile wazo lako la Kigamboni lilikuwa linanifikirisha balaa. Click to expand... Karibu kwako mkuu...mimi wa Gezaulole imekula kwangu,siwezi kuja
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Sep 14, 2018 #139 Da'Vinci said: Haaaaa Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri.. Click to expand... Kinondoni usafiri ni wa kumwaga, tutaangalia itakuwaje, tuombe uzima.
Da'Vinci said: Haaaaa Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri.. Click to expand... Kinondoni usafiri ni wa kumwaga, tutaangalia itakuwaje, tuombe uzima.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #140 cute b said: Soda moja, juice ya box ya embe (azamu) Click to expand... Ndo zangu hizooi