Mamaaaa wasojulikana kazini!
Hapa wote tunatumia fake ID!
Afu tukutane kufanya nn?
Sina uhakika kama wote mtarudi makwenu!
Kuna waroho wa mademu
Kuna wadangaji
Kuna wasojulikana!
Sie wa mikoani tutasubiri comments zenu
Mamaaaa wasojulikana kazini!
Hapa wote tunatumia fake ID!
Afu tukutane kufanya nn?
Sina uhakika kama wote mtarudi makwenu!
Kuna waroho wa mademu
Kuna wadangaji
Kuna wasojulikana!
Sie wa mikoani tutasubiri comments zenu
Soma vizuri comment yangu sijasema msiende wala sijasema inaniuma na wala sijakutaja wewe kama mdangaji au usojulikana ila we ndo umejiita mdangaji basi nenda kadangike
Soma vizuri comment yangu sijasema msiende wala sijasema inaniuma na wala sijakutaja wewe kama mdangaji au usojulikana ila we ndo umejiita mdangaji basi nenda kadangike