nimekamatika mahali itabidi mjiaandae tu kunisahau mazima japo nashangaa hata hapa na nyie mmenisahau kabisa kunitag, ila najua kamanda upo humu utawanyoosha tu.Umepotea sana khaaaa!

ubarikiwe mno
Nitawachangia Watanga wenzangu
Mzigua 900
Ukhty
Hajar
Shunie
Yaani kuwa na kaka wa faida raha sanaEwaaaaaaa. Huu ndio undugu sasa.
Ndugu zangu mje huku kaka kajitolea.![]()
Hahahaaa. Njoo tu best.tangu jana nawaambia watu kuwa nutakuwepo kwaajili yako kumbe wewe hauji?
Ndio basi tena
Meona eeeh?....usipotee bananimekamatika mahali itabidi mjiaandae tu kunisahau mazima japo nashangaa hata hapa na nyie mmenisahau kabisa kunitag, ila najua kamanda upo humu utawanyoosha tu.
Hahahahaaa shishi FEKERO TUKUNYEMA.Shilole anakufaa
Niliona best, s kwenye ule uzi wetu wa mazoeziYaani acha best alinipa vipande vyangumhivi haukuona kweli mbona kama ulinipa like.
Au haukuwa wewe?![]()

Hahahaaa. Njoo tu best.
Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.
Hahahaaa. Dadaaa. 🙈🙈🙈HAJATOA.
MSICHEKELEE
Ulipiwe mara ngapi ?Nilipie mimi.
Masharti ndo yapi hayo?
Enheeeee. Kule kule.Niliona best, s kwenye ule uzi wetu wa mazoezi
Nikaona niingile ugomvi wa kina dada zangu.
Eeeh nisije vikwa dera bestEnheeeee. Kule kule.
Hahahaaa. Afadhali lakini best ulifanya jambo la kishujaa.