JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Nilimuona kule kwenye uzi wetu alikuparamia kwelikweli

But hilo ni dume trust me!....na hiyo ID kafungua baada ya kufungiwa maisha ID yake kongwe!

Hakuna cha Mama Debora or Mama Debaya
Kumbe unakumbuka mwaya.

Hata namie najikuta naamini hivyo ni Me huyu.

Ila kazi anayo maana kuwa na id mpya isiyo na adabu kina sie tunamuona kama punguwani.
 
Back
Top Bottom