Na Mamndenyi je?
Mamdogo Mashambani nikamuimajini kama Farasi, manake mishe mishe zake ni balaa. Eti siku hizi anauza dawa za kienyeji!
wamfunge kwanza bwana wa Lulu. hahahahaaaa....!!!. miafigganigga utafungwa aisee
Hahahaaa figganigga keshafungwa tayari ila inawezekana bwana mwingine wa Lulu ni wewe....miawamfunge kwanza bwana wa Lulu. hahahahaaaa....!!!. mia
Garden haina maua?
Ahhhh we unadhani hayo hapo sio majungu?Hebu nitake razi Arifu, mimi huwa sipigi majungu.. Natoa Fact.....
Wewe ni mmoja wapo wa niowa'imajini kama maua kwenye ile garden...
Halafu yalikuwa yanapendezesha ile Garden kinoma, kivutio cha vile vindege niliyoviona vikiruka kutoka ua moja kwenda lingine kwa madaha (wenyewe wanaita Swaga)..